Native Bible

Psalms 56:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Katika Mungu, ambaye neno lake ninalisifu, katika Mungu ninatumaini; sitaogopa. Mwanadamu apatikanaye na kufa, atanitenda nini?

Psalms 56:4 in English

Psalms 56:4 · Berean Standard Bible

In God, whose word I praise— in God I trust. I will not be afraid. What can man do to me?

Context

2Wasingiziaji wangu wananifuatia mchana kutwa, wengi wananishambulia kwa kiburi chao. 3Wakati ninapoogopa, nitakutumaini wewe. 4Katika Mungu, ambaye neno lake ninalisifu, katika Mungu ninatumaini; sitaogopa. Mwanadamu apatikanaye na kufa, atanitenda nini? 5Mchana kutwa wanayageuza maneno yangu, siku zote wanapanga shauri la kunidhuru. 6Wananifanyia hila, wanajificha, wanatazama hatua zangu, wakiwa na shauku ya kuutoa uhai wangu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.