Native Bible

Psalms 56:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wasingiziaji wangu wananifuatia mchana kutwa, wengi wananishambulia kwa kiburi chao.

Psalms 56:2 in English

Psalms 56:2 · Berean Standard Bible

My enemies pursue me all day long, for many proudly assail me.

Context

1Ee Mungu unihurumie, maana watu wananifuatia vikali; mchana kutwa wanazidisha mashambulizi yao. 2Wasingiziaji wangu wananifuatia mchana kutwa, wengi wananishambulia kwa kiburi chao. 3Wakati ninapoogopa, nitakutumaini wewe. 4Katika Mungu, ambaye neno lake ninalisifu, katika Mungu ninatumaini; sitaogopa. Mwanadamu apatikanaye na kufa, atanitenda nini?

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.