Zaburi 56:3
Psalms 56:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wakati ninapoogopa, nitakutumaini wewe.
Psalms 56:3 in English
Psalms 56:3 · Berean Standard Bible
When I am afraid, I put my trust in You.
Context
1Ee Mungu unihurumie, maana watu wananifuatia vikali;
mchana kutwa wanazidisha mashambulizi yao. 2Wasingiziaji wangu wananifuatia mchana kutwa,
wengi wananishambulia kwa kiburi chao. 3Wakati ninapoogopa,
nitakutumaini wewe. 4Katika Mungu, ambaye neno lake ninalisifu,
katika Mungu ninatumaini; sitaogopa.
Mwanadamu apatikanaye na kufa,
atanitenda nini? 5Mchana kutwa wanayageuza maneno yangu,
siku zote wanapanga shauri la kunidhuru.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.