Native Bible

Psalms 56:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mchana kutwa wanayageuza maneno yangu, siku zote wanapanga shauri la kunidhuru.

Psalms 56:5 in English

Psalms 56:5 · Berean Standard Bible

All day long they twist my words; all their thoughts are on my demise.

Context

3Wakati ninapoogopa, nitakutumaini wewe. 4Katika Mungu, ambaye neno lake ninalisifu, katika Mungu ninatumaini; sitaogopa. Mwanadamu apatikanaye na kufa, atanitenda nini? 5Mchana kutwa wanayageuza maneno yangu, siku zote wanapanga shauri la kunidhuru. 6Wananifanyia hila, wanajificha, wanatazama hatua zangu, wakiwa na shauku ya kuutoa uhai wangu. 7Wasiepuke kwa vyovyote, Ee Mungu, katika hasira yako yaangushe mataifa.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.