Native Bible

Psalms 56:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ee Mungu unihurumie, maana watu wananifuatia vikali; mchana kutwa wanazidisha mashambulizi yao.

Psalms 56:1 in English

Psalms 56:1 · Berean Standard Bible

Be merciful to me, O God, for men are hounding me; all day they press their attack.

Context

1Ee Mungu unihurumie, maana watu wananifuatia vikali; mchana kutwa wanazidisha mashambulizi yao. 2Wasingiziaji wangu wananifuatia mchana kutwa, wengi wananishambulia kwa kiburi chao. 3Wakati ninapoogopa, nitakutumaini wewe.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.