Native Bible

Psalms 54:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Hakika Mungu ni msaada wangu, Bwana ndiye anayenitegemeza.

Psalms 54:4 in English

Psalms 54:4 · Berean Standard Bible

Surely God is my helper; the Lord is the sustainer of my soul.

Context

2Ee Mungu, sikia maombi yangu, usikilize maneno ya kinywa changu. 3Wageni wananishambulia, watu wakatili wanayatafuta maisha yangu, watu wasiomjali Mungu. 4Hakika Mungu ni msaada wangu, Bwana ndiye anayenitegemeza. 5Mabaya na yawarudie wale wanaonisingizia, kwa uaminifu wako uwaangamize. 6Nitakutolea dhabihu za hiari; Ee Bwana, nitalisifu jina lako kwa kuwa ni vyema.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.