Native Bible

Psalms 54:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Nitakutolea dhabihu za hiari; Ee Bwana, nitalisifu jina lako kwa kuwa ni vyema.

Psalms 54:6 in English

Psalms 54:6 · Berean Standard Bible

Freely I will sacrifice to You; I will praise Your name, O LORD, for it is good.

Context

4Hakika Mungu ni msaada wangu, Bwana ndiye anayenitegemeza. 5Mabaya na yawarudie wale wanaonisingizia, kwa uaminifu wako uwaangamize. 6Nitakutolea dhabihu za hiari; Ee Bwana, nitalisifu jina lako kwa kuwa ni vyema. 7Kwa maana ameniokoa katika shida zangu zote, na macho yangu yamewatazama adui zangu kwa ushindi.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.