Native Bible

Psalms 54:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kwa maana ameniokoa katika shida zangu zote, na macho yangu yamewatazama adui zangu kwa ushindi.

Psalms 54:7 in English

Psalms 54:7 · Berean Standard Bible

For He has delivered me from every trouble, and my eyes have stared down my foes.

Context

5Mabaya na yawarudie wale wanaonisingizia, kwa uaminifu wako uwaangamize. 6Nitakutolea dhabihu za hiari; Ee Bwana, nitalisifu jina lako kwa kuwa ni vyema. 7Kwa maana ameniokoa katika shida zangu zote, na macho yangu yamewatazama adui zangu kwa ushindi.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.