Native Bible

Psalms 54:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mabaya na yawarudie wale wanaonisingizia, kwa uaminifu wako uwaangamize.

Psalms 54:5 in English

Psalms 54:5 · Berean Standard Bible

He will reward my enemies with evil. In Your faithfulness, destroy them.

Context

3Wageni wananishambulia, watu wakatili wanayatafuta maisha yangu, watu wasiomjali Mungu. 4Hakika Mungu ni msaada wangu, Bwana ndiye anayenitegemeza. 5Mabaya na yawarudie wale wanaonisingizia, kwa uaminifu wako uwaangamize. 6Nitakutolea dhabihu za hiari; Ee Bwana, nitalisifu jina lako kwa kuwa ni vyema. 7Kwa maana ameniokoa katika shida zangu zote, na macho yangu yamewatazama adui zangu kwa ushindi.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.