Native Bible

Psalms 54:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wageni wananishambulia, watu wakatili wanayatafuta maisha yangu, watu wasiomjali Mungu.

Psalms 54:3 in English

Psalms 54:3 · Berean Standard Bible

For strangers rise up against me, and ruthless men seek my life— men with no regard for God. Selah

Context

1Ee Mungu uniokoe kwa jina lako, unifanyie hukumu kwa uwezo wako. 2Ee Mungu, sikia maombi yangu, usikilize maneno ya kinywa changu. 3Wageni wananishambulia, watu wakatili wanayatafuta maisha yangu, watu wasiomjali Mungu. 4Hakika Mungu ni msaada wangu, Bwana ndiye anayenitegemeza. 5Mabaya na yawarudie wale wanaonisingizia, kwa uaminifu wako uwaangamize.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.