Native Bible

Psalms 54:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ee Mungu uniokoe kwa jina lako, unifanyie hukumu kwa uwezo wako.

Psalms 54:1 in English

Psalms 54:1 · Berean Standard Bible

Save me, O God, by Your name, and vindicate me by Your might!

Context

1Ee Mungu uniokoe kwa jina lako, unifanyie hukumu kwa uwezo wako. 2Ee Mungu, sikia maombi yangu, usikilize maneno ya kinywa changu. 3Wageni wananishambulia, watu wakatili wanayatafuta maisha yangu, watu wasiomjali Mungu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.