Native Bible

Psalms 54:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ee Mungu, sikia maombi yangu, usikilize maneno ya kinywa changu.

Psalms 54:2 in English

Psalms 54:2 · Berean Standard Bible

Hear my prayer, O God; listen to the words of my mouth.

Context

1Ee Mungu uniokoe kwa jina lako, unifanyie hukumu kwa uwezo wako. 2Ee Mungu, sikia maombi yangu, usikilize maneno ya kinywa changu. 3Wageni wananishambulia, watu wakatili wanayatafuta maisha yangu, watu wasiomjali Mungu. 4Hakika Mungu ni msaada wangu, Bwana ndiye anayenitegemeza.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.