Zaburi 45:10
Psalms 45:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Sikiliza, ewe binti, fikiri na utege sikio: Sahau watu wako na nyumba ya baba yako.
Psalms 45:10 in English
Psalms 45:10 · Berean Standard Bible
Listen, O daughter! Consider and incline your ear: Forget your people and your father’s house,
Context
8Mavazi yako yote yana harufu nzuri
ya manemane, udi na mdalasini;
kutoka kwenye majumba ya kifalme
yaliyopambwa kwa pembe za ndovu,
sauti za vinanda vya nyuzi
zinakufanya ufurahi. 9Binti za wafalme ni miongoni mwa wanawake wako waheshimiwa;
kuume kwako yupo bibi arusi malkia aliyevaa dhahabu ya Ofiri. 10Sikiliza, ewe binti, fikiri na utege sikio:
Sahau watu wako na nyumba ya baba yako. 11Mfalme ameshangazwa na uzuri wako;
mheshimu, kwa kuwa yeye ni bwana wako. 12Binti wa Tiro atakuletea zawadi,
watu wenye utajiri watatafuta upendeleo wako.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.