Native Bible

Psalms 45:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mfalme ameshangazwa na uzuri wako; mheshimu, kwa kuwa yeye ni bwana wako.

Psalms 45:11 in English

Psalms 45:11 · Berean Standard Bible

and the king will desire your beauty; bow to him, for he is your lord.

Context

9Binti za wafalme ni miongoni mwa wanawake wako waheshimiwa; kuume kwako yupo bibi arusi malkia aliyevaa dhahabu ya Ofiri. 10Sikiliza, ewe binti, fikiri na utege sikio: Sahau watu wako na nyumba ya baba yako. 11Mfalme ameshangazwa na uzuri wako; mheshimu, kwa kuwa yeye ni bwana wako. 12Binti wa Tiro atakuletea zawadi, watu wenye utajiri watatafuta upendeleo wako. 13Utukufu wote una binti mfalme katika chumba chake; vazi lake limefumwa kwa nyuzi za dhahabu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.