Zaburi 45:12
Psalms 45:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Binti wa Tiro atakuletea zawadi, watu wenye utajiri watatafuta upendeleo wako.
Psalms 45:12 in English
Psalms 45:12 · Berean Standard Bible
The Daughter of Tyre will come with a gift; men of wealth will seek your favor.
Context
10Sikiliza, ewe binti, fikiri na utege sikio:
Sahau watu wako na nyumba ya baba yako. 11Mfalme ameshangazwa na uzuri wako;
mheshimu, kwa kuwa yeye ni bwana wako. 12Binti wa Tiro atakuletea zawadi,
watu wenye utajiri watatafuta upendeleo wako. 13Utukufu wote una binti mfalme katika chumba chake;
vazi lake limefumwa kwa nyuzi za dhahabu. 14Anaongozwa kwa mfalme, akiwa amevalia mavazi yaliyotariziwa,
mabikira wenzake wanamfuata
na wanaletwa kwako.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.