Native Bible

Psalms 45:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Anaongozwa kwa mfalme, akiwa amevalia mavazi yaliyotariziwa, mabikira wenzake wanamfuata na wanaletwa kwako.

Psalms 45:14 in English

Psalms 45:14 · Berean Standard Bible

In colorful garments she is led to the king; her virgin companions are brought before you.

Context

12Binti wa Tiro atakuletea zawadi, watu wenye utajiri watatafuta upendeleo wako. 13Utukufu wote una binti mfalme katika chumba chake; vazi lake limefumwa kwa nyuzi za dhahabu. 14Anaongozwa kwa mfalme, akiwa amevalia mavazi yaliyotariziwa, mabikira wenzake wanamfuata na wanaletwa kwako. 15Wanaingizwa ndani kwa shangwe na furaha, na kuingia katika jumba la mfalme. 16Wana wenu watachukua nafasi za baba zenu, mtawafanya wakuu katika nchi yote.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.