Native Bible

Psalms 45:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wanaingizwa ndani kwa shangwe na furaha, na kuingia katika jumba la mfalme.

Psalms 45:15 in English

Psalms 45:15 · Berean Standard Bible

They are led in with joy and gladness; they enter the palace of the king.

Context

13Utukufu wote una binti mfalme katika chumba chake; vazi lake limefumwa kwa nyuzi za dhahabu. 14Anaongozwa kwa mfalme, akiwa amevalia mavazi yaliyotariziwa, mabikira wenzake wanamfuata na wanaletwa kwako. 15Wanaingizwa ndani kwa shangwe na furaha, na kuingia katika jumba la mfalme. 16Wana wenu watachukua nafasi za baba zenu, mtawafanya wakuu katika nchi yote. 17Nitadumisha kumbukumbu lako katika vizazi vyote, kwa hiyo mataifa watakusifu milele na milele.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.