Zaburi 45:16
Psalms 45:16 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wana wenu watachukua nafasi za baba zenu, mtawafanya wakuu katika nchi yote.
Psalms 45:16 in English
Psalms 45:16 · Berean Standard Bible
Your sons will succeed your fathers; you will make them princes throughout the land.
Context
14Anaongozwa kwa mfalme, akiwa amevalia mavazi yaliyotariziwa,
mabikira wenzake wanamfuata
na wanaletwa kwako. 15Wanaingizwa ndani kwa shangwe na furaha,
na kuingia katika jumba la mfalme. 16Wana wenu watachukua nafasi za baba zenu,
mtawafanya wakuu katika nchi yote. 17Nitadumisha kumbukumbu lako katika vizazi vyote,
kwa hiyo mataifa watakusifu milele na milele.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.