Native Bible

Psalms 40:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ndipo niliposema, “Mimi hapa, nimekuja: imeandikwa kunihusu katika kitabu.

Psalms 40:7 in English

Psalms 40:7 · Berean Standard Bible

Then I said, “Here I am, I have come— it is written about me in the scroll:

Context

5Ee Bwana Mungu wangu, umefanya mambo mengi ya ajabu. Mambo uliyopanga kwa ajili yetu hakuna awezaye kukuhesabia; kama ningesema na kuyaelezea, yangekuwa mengi mno kuyaelezea. 6Dhabihu na sadaka hukuvitaka, lakini umefungua masikio yangu;* sadaka za kuteketezwa na sadaka za dhambi hukuzihitaji. 7Ndipo niliposema, “Mimi hapa, nimekuja: imeandikwa kunihusu katika kitabu. 8Ee Mungu wangu, natamani kuyafanya mapenzi yako; sheria yako iko ndani ya moyo wangu.” 9Nimehubiri haki katika kusanyiko kubwa, sikufunga mdomo wangu, Ee Bwana, kama ujuavyo.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.