Native Bible

Psalms 40:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Nimehubiri haki katika kusanyiko kubwa, sikufunga mdomo wangu, Ee Bwana, kama ujuavyo.

Psalms 40:9 in English

Psalms 40:9 · Berean Standard Bible

I proclaim righteousness in the great assembly; behold, I do not seal my lips, as You, O LORD, do know.

Context

7Ndipo niliposema, “Mimi hapa, nimekuja: imeandikwa kunihusu katika kitabu. 8Ee Mungu wangu, natamani kuyafanya mapenzi yako; sheria yako iko ndani ya moyo wangu.” 9Nimehubiri haki katika kusanyiko kubwa, sikufunga mdomo wangu, Ee Bwana, kama ujuavyo. 10Sikuficha haki yako moyoni mwangu; ninasema juu ya uaminifu wako na wokovu wako. Sikuficha upendo wako na kweli yako mbele ya kusanyiko kubwa. 11Ee Bwana, usizuilie huruma zako, upendo wako na kweli yako daima vinilinde.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.