Zaburi 35:3
Psalms 35:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Inua mkuki wako na fumo* lako dhidi ya hao wanaonifuatia. Iambie nafsi yangu, “Mimi ni wokovu wako.”
Psalms 35:3 in English
Psalms 35:3 · Berean Standard Bible
Draw the spear and javelin * against my pursuers; say to my soul: “I am your salvation.”
Context
1Ee Bwana, pingana na wale wanaopingana nami,
upigane na hao wanaopigana nami. 2Chukua ngao na kigao.
Inuka unisaidie. 3Inua mkuki wako na fumo* lako
dhidi ya hao wanaonifuatia.
Iambie nafsi yangu,
“Mimi ni wokovu wako.” 4Wafedheheshwe na waaibishwe
wale wanaotafuta uhai wangu.
Wanaofanya shauri kuniangamiza
warudishwe nyuma kwa hofu. 5Wawe kama makapi yapeperushwayo na upepo,
malaika wa Bwana akiwafukuza.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.