Zaburi 35:5
Psalms 35:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wawe kama makapi yapeperushwayo na upepo, malaika wa Bwana akiwafukuza.
Psalms 35:5 in English
Psalms 35:5 · Berean Standard Bible
May they be like chaff in the wind, as the angel of the LORD drives them away.
Context
3Inua mkuki wako na fumo* lako
dhidi ya hao wanaonifuatia.
Iambie nafsi yangu,
“Mimi ni wokovu wako.” 4Wafedheheshwe na waaibishwe
wale wanaotafuta uhai wangu.
Wanaofanya shauri kuniangamiza
warudishwe nyuma kwa hofu. 5Wawe kama makapi yapeperushwayo na upepo,
malaika wa Bwana akiwafukuza. 6Njia yao na iwe giza na ya utelezi,
malaika wa Bwana akiwafuatilia. 7Kwa vile walinifichia wavu wao bila sababu,
na bila sababu wamenichimbia shimo,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.