Native Bible

Psalms 35:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wafedheheshwe na waaibishwe wale wanaotafuta uhai wangu. Wanaofanya shauri kuniangamiza warudishwe nyuma kwa hofu.

Psalms 35:4 in English

Psalms 35:4 · Berean Standard Bible

May those who seek my life be disgraced and put to shame; may those who plan to harm me be driven back and confounded.

Context

2Chukua ngao na kigao. Inuka unisaidie. 3Inua mkuki wako na fumo* lako dhidi ya hao wanaonifuatia. Iambie nafsi yangu, “Mimi ni wokovu wako.” 4Wafedheheshwe na waaibishwe wale wanaotafuta uhai wangu. Wanaofanya shauri kuniangamiza warudishwe nyuma kwa hofu. 5Wawe kama makapi yapeperushwayo na upepo, malaika wa Bwana akiwafukuza. 6Njia yao na iwe giza na ya utelezi, malaika wa Bwana akiwafuatilia.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.