Zaburi 35:2
Psalms 35:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Chukua ngao na kigao. Inuka unisaidie.
Psalms 35:2 in English
Psalms 35:2 · Berean Standard Bible
Take up Your shield and buckler; arise and come to my aid.
Context
1Ee Bwana, pingana na wale wanaopingana nami,
upigane na hao wanaopigana nami. 2Chukua ngao na kigao.
Inuka unisaidie. 3Inua mkuki wako na fumo* lako
dhidi ya hao wanaonifuatia.
Iambie nafsi yangu,
“Mimi ni wokovu wako.” 4Wafedheheshwe na waaibishwe
wale wanaotafuta uhai wangu.
Wanaofanya shauri kuniangamiza
warudishwe nyuma kwa hofu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.