Native Bible

Psalms 35:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ee Bwana, pingana na wale wanaopingana nami, upigane na hao wanaopigana nami.

Psalms 35:1 in English

Psalms 35:1 · Berean Standard Bible

Contend with my opponents, O LORD; fight against those who fight against me.

Context

1Ee Bwana, pingana na wale wanaopingana nami, upigane na hao wanaopigana nami. 2Chukua ngao na kigao. Inuka unisaidie. 3Inua mkuki wako na fumo* lako dhidi ya hao wanaonifuatia. Iambie nafsi yangu, “Mimi ni wokovu wako.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.