Native Bible

Psalms 35:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kwa vile walinifichia wavu wao bila sababu, na bila sababu wamenichimbia shimo,

Psalms 35:7 in English

Psalms 35:7 · Berean Standard Bible

For without cause they laid their net for me; without reason they dug a pit for my soul.

Context

5Wawe kama makapi yapeperushwayo na upepo, malaika wa Bwana akiwafukuza. 6Njia yao na iwe giza na ya utelezi, malaika wa Bwana akiwafuatilia. 7Kwa vile walinifichia wavu wao bila sababu, na bila sababu wamenichimbia shimo, 8maafa na yawapate ghafula: wavu walionifichia na uwatege wenyewe, na waanguke katika shimo hilo, kwa maangamizo yao. 9Ndipo nafsi yangu itashangilia katika Bwana na kuufurahia wokovu wake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.