Zaburi 34:18
Psalms 34:18 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Bwana yu karibu na waliovunjika moyo, na huwaokoa waliopondeka roho.
Psalms 34:18 in English
Psalms 34:18 · Berean Standard Bible
The LORD is near to the brokenhearted; He saves the contrite in spirit.
Context
16Uso wa Bwana uko kinyume na watendao maovu,
ili kufuta kumbukumbu lao duniani. 17Wenye haki hulia, naye Bwana huwasikia,
huwaokoa katika taabu zao zote. 18Bwana yu karibu na waliovunjika moyo,
na huwaokoa waliopondeka roho. 19Mwenye haki ana mateso mengi,
lakini Bwana humwokoa nayo yote, 20huhifadhi mifupa yake yote,
hata mmoja hautavunjika.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.