Native Bible

Psalms 34:20 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

huhifadhi mifupa yake yote, hata mmoja hautavunjika.

Psalms 34:20 in English

Psalms 34:20 · Berean Standard Bible

He protects all his bones; not one of them will be broken.*

Context

18Bwana yu karibu na waliovunjika moyo, na huwaokoa waliopondeka roho. 19Mwenye haki ana mateso mengi, lakini Bwana humwokoa nayo yote, 20huhifadhi mifupa yake yote, hata mmoja hautavunjika. 21Ubaya utamuua mtu mwovu, nao adui za mwenye haki watahukumiwa. 22Bwana huwakomboa watumishi wake, yeyote anayemkimbilia yeye hatahukumiwa kamwe.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.