Native Bible

Psalms 34:19 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mwenye haki ana mateso mengi, lakini Bwana humwokoa nayo yote,

Psalms 34:19 in English

Psalms 34:19 · Berean Standard Bible

Many are the afflictions of the righteous, but the LORD delivers him from them all.

Context

17Wenye haki hulia, naye Bwana huwasikia, huwaokoa katika taabu zao zote. 18Bwana yu karibu na waliovunjika moyo, na huwaokoa waliopondeka roho. 19Mwenye haki ana mateso mengi, lakini Bwana humwokoa nayo yote, 20huhifadhi mifupa yake yote, hata mmoja hautavunjika. 21Ubaya utamuua mtu mwovu, nao adui za mwenye haki watahukumiwa.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.