Native Bible

Psalms 34:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wenye haki hulia, naye Bwana huwasikia, huwaokoa katika taabu zao zote.

Psalms 34:17 in English

Psalms 34:17 · Berean Standard Bible

The righteous cry out, and the LORD hears; He delivers them from all their troubles.

Context

15Macho ya Bwana huwaelekea wenye haki, na masikio yake yako makini kusikiliza kilio chao. 16Uso wa Bwana uko kinyume na watendao maovu, ili kufuta kumbukumbu lao duniani. 17Wenye haki hulia, naye Bwana huwasikia, huwaokoa katika taabu zao zote. 18Bwana yu karibu na waliovunjika moyo, na huwaokoa waliopondeka roho. 19Mwenye haki ana mateso mengi, lakini Bwana humwokoa nayo yote,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.