Native Bible

Psalms 34:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Macho ya Bwana huwaelekea wenye haki, na masikio yake yako makini kusikiliza kilio chao.

Psalms 34:15 in English

Psalms 34:15 · Berean Standard Bible

The eyes of the LORD are on the righteous, and His ears are inclined to their cry.*

Context

13basi auzuie ulimi wake na mabaya, na midomo yake kutokana na kusema uongo. 14Aache uovu, atende mema, aitafute amani na kuifuatilia. 15Macho ya Bwana huwaelekea wenye haki, na masikio yake yako makini kusikiliza kilio chao. 16Uso wa Bwana uko kinyume na watendao maovu, ili kufuta kumbukumbu lao duniani. 17Wenye haki hulia, naye Bwana huwasikia, huwaokoa katika taabu zao zote.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.