Zaburi 34:14
Psalms 34:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Aache uovu, atende mema, aitafute amani na kuifuatilia.
Psalms 34:14 in English
Psalms 34:14 · Berean Standard Bible
Turn away from evil and do good; seek peace and pursue it.
Context
12Yeyote kati yenu anayependa uzima
na kutamani kuziona siku nyingi njema, 13basi auzuie ulimi wake na mabaya,
na midomo yake kutokana na kusema uongo. 14Aache uovu, atende mema,
aitafute amani na kuifuatilia. 15Macho ya Bwana huwaelekea wenye haki,
na masikio yake yako makini kusikiliza kilio chao. 16Uso wa Bwana uko kinyume na watendao maovu,
ili kufuta kumbukumbu lao duniani.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.