Native Bible

Psalms 34:16 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Uso wa Bwana uko kinyume na watendao maovu, ili kufuta kumbukumbu lao duniani.

Psalms 34:16 in English

Psalms 34:16 · Berean Standard Bible

But the face of the LORD is against those who do evil,* to wipe out all memory of them from the earth.

Context

14Aache uovu, atende mema, aitafute amani na kuifuatilia. 15Macho ya Bwana huwaelekea wenye haki, na masikio yake yako makini kusikiliza kilio chao. 16Uso wa Bwana uko kinyume na watendao maovu, ili kufuta kumbukumbu lao duniani. 17Wenye haki hulia, naye Bwana huwasikia, huwaokoa katika taabu zao zote. 18Bwana yu karibu na waliovunjika moyo, na huwaokoa waliopondeka roho.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.