Native Bible

Psalms 3:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Sitaogopa makumi elfu ya adui, wanaojipanga dhidi yangu kila upande.

Psalms 3:6 in English

Psalms 3:6 · Berean Standard Bible

I will not fear the myriads set against me on every side.

Context

4Ninamlilia Bwana kwa sauti kuu, naye ananijibu kutoka mlima wake mtakatifu. 5Ninajilaza na kupata usingizi; naamka tena, kwa maana Bwana hunitegemeza. 6Sitaogopa makumi elfu ya adui, wanaojipanga dhidi yangu kila upande. 7Ee Bwana, amka! Niokoe, Ee Mungu wangu! Wapige adui zangu wote kwenye taya, vunja meno ya waovu. 8Kwa maana wokovu watoka kwa Bwana. Baraka yako na iwe juu ya watu wako.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.