Zaburi 3:5
Psalms 3:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ninajilaza na kupata usingizi; naamka tena, kwa maana Bwana hunitegemeza.
Psalms 3:5 in English
Psalms 3:5 · Berean Standard Bible
I lie down and sleep; I wake again, for the LORD sustains me.
Context
3Lakini wewe, Ee Bwana, ni ngao pande zote;
umeniwekea utukufu na kuinua kichwa changu. 4Ninamlilia Bwana kwa sauti kuu,
naye ananijibu kutoka mlima wake mtakatifu. 5Ninajilaza na kupata usingizi;
naamka tena, kwa maana Bwana hunitegemeza. 6Sitaogopa makumi elfu ya adui,
wanaojipanga dhidi yangu kila upande. 7Ee Bwana, amka!
Niokoe, Ee Mungu wangu!
Wapige adui zangu wote kwenye taya,
vunja meno ya waovu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.