Native Bible

Psalms 3:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ee Bwana, amka! Niokoe, Ee Mungu wangu! Wapige adui zangu wote kwenye taya, vunja meno ya waovu.

Psalms 3:7 in English

Psalms 3:7 · Berean Standard Bible

Arise, O LORD! Save me, O my God! Strike all my enemies on the jaw; break the teeth of the wicked.

Context

5Ninajilaza na kupata usingizi; naamka tena, kwa maana Bwana hunitegemeza. 6Sitaogopa makumi elfu ya adui, wanaojipanga dhidi yangu kila upande. 7Ee Bwana, amka! Niokoe, Ee Mungu wangu! Wapige adui zangu wote kwenye taya, vunja meno ya waovu. 8Kwa maana wokovu watoka kwa Bwana. Baraka yako na iwe juu ya watu wako.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.