Native Bible

Psalms 3:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kwa maana wokovu watoka kwa Bwana. Baraka yako na iwe juu ya watu wako.

Psalms 3:8 in English

Psalms 3:8 · Berean Standard Bible

Salvation belongs to the LORD; may Your blessing be on Your people. Selah

Context

6Sitaogopa makumi elfu ya adui, wanaojipanga dhidi yangu kila upande. 7Ee Bwana, amka! Niokoe, Ee Mungu wangu! Wapige adui zangu wote kwenye taya, vunja meno ya waovu. 8Kwa maana wokovu watoka kwa Bwana. Baraka yako na iwe juu ya watu wako.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.