Native Bible

Psalms 3:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ninamlilia Bwana kwa sauti kuu, naye ananijibu kutoka mlima wake mtakatifu.

Psalms 3:4 in English

Psalms 3:4 · Berean Standard Bible

To the LORD I cry aloud, and He answers me from His holy mountain. Selah

Context

2Wengi wanasema juu yangu, “Mungu hatamwokoa.” 3Lakini wewe, Ee Bwana, ni ngao pande zote; umeniwekea utukufu na kuinua kichwa changu. 4Ninamlilia Bwana kwa sauti kuu, naye ananijibu kutoka mlima wake mtakatifu. 5Ninajilaza na kupata usingizi; naamka tena, kwa maana Bwana hunitegemeza. 6Sitaogopa makumi elfu ya adui, wanaojipanga dhidi yangu kila upande.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.