Native Bible

Psalms 3:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wengi wanasema juu yangu, “Mungu hatamwokoa.”

Psalms 3:2 in English

Psalms 3:2 · Berean Standard Bible

Many say of me, “God will not deliver him.” Selah *

Context

1Ee Bwana, tazama adui zangu walivyo wengi! Ni wengi kiasi gani wanaoinuka dhidi yangu! 2Wengi wanasema juu yangu, “Mungu hatamwokoa.” 3Lakini wewe, Ee Bwana, ni ngao pande zote; umeniwekea utukufu na kuinua kichwa changu. 4Ninamlilia Bwana kwa sauti kuu, naye ananijibu kutoka mlima wake mtakatifu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.