Native Bible

Psalms 3:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ee Bwana, tazama adui zangu walivyo wengi! Ni wengi kiasi gani wanaoinuka dhidi yangu!

Psalms 3:1 in English

Psalms 3:1 · Berean Standard Bible

O LORD, how my foes have increased! How many rise up against me!

Context

1Ee Bwana, tazama adui zangu walivyo wengi! Ni wengi kiasi gani wanaoinuka dhidi yangu! 2Wengi wanasema juu yangu, “Mungu hatamwokoa.” 3Lakini wewe, Ee Bwana, ni ngao pande zote; umeniwekea utukufu na kuinua kichwa changu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.