Zaburi 26:9
Psalms 26:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Usiiondoe nafsi yangu pamoja na watenda dhambi, wala uhai wangu pamoja na wamwagao damu,
Psalms 26:9 in English
Psalms 26:9 · Berean Standard Bible
Do not take my soul away with sinners, or my life with men of bloodshed,
Context
7nikitangaza sifa yako kwa sauti kubwa,
huku nikisimulia matendo yako ya ajabu. 8Ee Bwana, naipenda nyumba yako mahali unakoishi,
mahali ambapo utukufu wako hukaa. 9Usiiondoe nafsi yangu pamoja na watenda dhambi,
wala uhai wangu pamoja na wamwagao damu, 10ambao mikononi mwao kuna mipango miovu,
ambao mikono yao ya kuume imejaa rushwa. 11Bali mimi ninaishi maisha yasiyo na lawama;
nikomboe na unihurumie.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.