Native Bible

Psalms 26:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ee Bwana, naipenda nyumba yako mahali unakoishi, mahali ambapo utukufu wako hukaa.

Psalms 26:8 in English

Psalms 26:8 · Berean Standard Bible

O LORD, I love the house where You dwell, the place where Your glory resides.

Context

6Ninanawa mikono yangu kwa kuwa sina hatia, naikaribia madhabahu yako, Ee Bwana, 7nikitangaza sifa yako kwa sauti kubwa, huku nikisimulia matendo yako ya ajabu. 8Ee Bwana, naipenda nyumba yako mahali unakoishi, mahali ambapo utukufu wako hukaa. 9Usiiondoe nafsi yangu pamoja na watenda dhambi, wala uhai wangu pamoja na wamwagao damu, 10ambao mikononi mwao kuna mipango miovu, ambao mikono yao ya kuume imejaa rushwa.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.