Zaburi 26:6
Psalms 26:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ninanawa mikono yangu kwa kuwa sina hatia, naikaribia madhabahu yako, Ee Bwana,
Psalms 26:6 in English
Psalms 26:6 · Berean Standard Bible
I wash my hands in innocence that I may go about Your altar, O LORD,
Context
4Siketi pamoja na watu wadanganyifu,
wala siandamani na wanafiki, 5ninachukia kusanyiko la watenda mabaya
na ninakataa kuketi pamoja na waovu. 6Ninanawa mikono yangu kwa kuwa sina hatia,
naikaribia madhabahu yako, Ee Bwana, 7nikitangaza sifa yako kwa sauti kubwa,
huku nikisimulia matendo yako ya ajabu. 8Ee Bwana, naipenda nyumba yako mahali unakoishi,
mahali ambapo utukufu wako hukaa.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.