Zaburi 26:4
Psalms 26:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Siketi pamoja na watu wadanganyifu, wala siandamani na wanafiki,
Psalms 26:4 in English
Psalms 26:4 · Berean Standard Bible
I do not sit with deceitful men, nor keep company with hypocrites.
Context
2Ee Bwana, unijaribu, unipime,
uuchunguze moyo wangu
na mawazo yangu; 3kwa maana upendo wako
uko mbele yangu daima,
nami natembea siku zote
katika kweli yako. 4Siketi pamoja na watu wadanganyifu,
wala siandamani na wanafiki, 5ninachukia kusanyiko la watenda mabaya
na ninakataa kuketi pamoja na waovu. 6Ninanawa mikono yangu kwa kuwa sina hatia,
naikaribia madhabahu yako, Ee Bwana,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.