Native Bible

Psalms 26:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ee Bwana, unijaribu, unipime, uuchunguze moyo wangu na mawazo yangu;

Psalms 26:2 in English

Psalms 26:2 · Berean Standard Bible

Test me, O LORD, and try me; examine my heart * and mind.

Context

1Ee Bwana, nithibitishe katika haki, maana nimeishi maisha yasiyo na lawama; nimemtumainia Bwana bila kusitasita. 2Ee Bwana, unijaribu, unipime, uuchunguze moyo wangu na mawazo yangu; 3kwa maana upendo wako uko mbele yangu daima, nami natembea siku zote katika kweli yako. 4Siketi pamoja na watu wadanganyifu, wala siandamani na wanafiki,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.