Native Bible

Psalms 26:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ee Bwana, nithibitishe katika haki, maana nimeishi maisha yasiyo na lawama; nimemtumainia Bwana bila kusitasita.

Psalms 26:1 in English

Psalms 26:1 · Berean Standard Bible

Vindicate me, O LORD! For I have walked with integrity; I have trusted in the LORD without wavering.

Context

1Ee Bwana, nithibitishe katika haki, maana nimeishi maisha yasiyo na lawama; nimemtumainia Bwana bila kusitasita. 2Ee Bwana, unijaribu, unipime, uuchunguze moyo wangu na mawazo yangu; 3kwa maana upendo wako uko mbele yangu daima, nami natembea siku zote katika kweli yako.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.