Native Bible

Psalms 26:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

kwa maana upendo wako uko mbele yangu daima, nami natembea siku zote katika kweli yako.

Psalms 26:3 in English

Psalms 26:3 · Berean Standard Bible

For Your loving devotion is before my eyes, and I have walked in Your truth.

Context

1Ee Bwana, nithibitishe katika haki, maana nimeishi maisha yasiyo na lawama; nimemtumainia Bwana bila kusitasita. 2Ee Bwana, unijaribu, unipime, uuchunguze moyo wangu na mawazo yangu; 3kwa maana upendo wako uko mbele yangu daima, nami natembea siku zote katika kweli yako. 4Siketi pamoja na watu wadanganyifu, wala siandamani na wanafiki, 5ninachukia kusanyiko la watenda mabaya na ninakataa kuketi pamoja na waovu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.