Zaburi 26:7
Psalms 26:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
nikitangaza sifa yako kwa sauti kubwa, huku nikisimulia matendo yako ya ajabu.
Psalms 26:7 in English
Psalms 26:7 · Berean Standard Bible
to raise my voice in thanksgiving and declare all Your wonderful works.
Context
5ninachukia kusanyiko la watenda mabaya
na ninakataa kuketi pamoja na waovu. 6Ninanawa mikono yangu kwa kuwa sina hatia,
naikaribia madhabahu yako, Ee Bwana, 7nikitangaza sifa yako kwa sauti kubwa,
huku nikisimulia matendo yako ya ajabu. 8Ee Bwana, naipenda nyumba yako mahali unakoishi,
mahali ambapo utukufu wako hukaa. 9Usiiondoe nafsi yangu pamoja na watenda dhambi,
wala uhai wangu pamoja na wamwagao damu,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.