Zaburi 26:10
Psalms 26:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
ambao mikononi mwao kuna mipango miovu, ambao mikono yao ya kuume imejaa rushwa.
Psalms 26:10 in English
Psalms 26:10 · Berean Standard Bible
in whose hands are wicked schemes, whose right hands are full of bribes.
Context
8Ee Bwana, naipenda nyumba yako mahali unakoishi,
mahali ambapo utukufu wako hukaa. 9Usiiondoe nafsi yangu pamoja na watenda dhambi,
wala uhai wangu pamoja na wamwagao damu, 10ambao mikononi mwao kuna mipango miovu,
ambao mikono yao ya kuume imejaa rushwa. 11Bali mimi ninaishi maisha yasiyo na lawama;
nikomboe na unihurumie. 12Miguu yangu imesimama katika uwanja tambarare;
katika kusanyiko kuu nitamsifu Bwana.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.