Native Bible

Psalms 26:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Miguu yangu imesimama katika uwanja tambarare; katika kusanyiko kuu nitamsifu Bwana.

Psalms 26:12 in English

Psalms 26:12 · Berean Standard Bible

My feet stand on level ground; in the congregations I will bless the LORD.

Context

10ambao mikononi mwao kuna mipango miovu, ambao mikono yao ya kuume imejaa rushwa. 11Bali mimi ninaishi maisha yasiyo na lawama; nikomboe na unihurumie. 12Miguu yangu imesimama katika uwanja tambarare; katika kusanyiko kuu nitamsifu Bwana.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.